Mbalizi feedstuff
Member
- Feb 23, 2025
- 40
- 34
Habari za mda huu wa kuu.kichwa cha somo chahusika.Ninatarajia kufungua kiwanda kidogo kwa ajili ya usafishaji wa mafuta ya kupikia hivyo ninahitaji kemikali muhimu katika shughuli hii.Mafuta nitakayokuwa nayachqkata ni ya alizeti,mawese na mengineyo.Naamini JF ina watu wa kila nyanja katika hao wapo wanaoweza kuwa wanafahamu kuhusu suala hili.Kemikali hii inapatika China 🇨🇳 na wanataka uagize kuanzia Tani moja na mimi ndio nataka kuanza