Mbalizi feedstuff
Member
- Feb 23, 2025
- 40
- 34
Nitoe tongotongo mkuu naanzaje huu mchakato ninahitaji sana hii kituMkuu ungeagiza South Africa, inawekwa kwenye Drums za 200litres, 50 litres. Inabidi uongee na wenye permit za kuingiza chemical wapo wengi wanatumia trucks
Inabidi uwacheki mawakala wa kitanzania wanaoagiza nje, kwa mkoa uliopo. Wale wanaoagiza kemikali za shule,ethanol,kemikali za material ya Sabuni kisha uombe wanapoleta kutoka South Africa au China uweke na order yakoNitoe tongotongo mkuu naanzaje huu mchakato ninahitaji sana hii kitu
Sawa mkuuInabidi uwacheki mawakala wa kitanzania wanaoagiza nje, kwa mkoa uliopo. Wale wanaoagiza kemikali za shule,ethanol,kemikali za material ya Sabuni kisha uombe wanapoleta kutoka South Africa au China uweke na order yako
Mkuu hapo , kweny mafuta ya mawese , umejipangaje Yani Sasa hv nmetoka kuulzia mashine Bei yake Ni 🔥🔥🔥.Sawa mkuu
Serious?Tumia hata vumbi au chenga za mkaa mbona ni bleaching zuri tu kwa gharama zero.
Nilikuwa nachujia mafuta machafu kutoka taka za plastic
Ninayo mashineMkuu hapo , kweny mafuta ya mawese , umejipangaje Yani Sasa hv nmetoka kuulzia mashine Bei yake Ni 🔥🔥🔥.
Ila inategemea na production capacity utakayotaka na product ima iwe RBD palm olein au RBD palm oil.
Hii umeipata kwa Bei gani mkuu?Ninayo mashine
Kiwanda chako kpo wapi?,Ninayo mashine
Zipo bleaching za aina nyingi kuna za chemical,za organic,au earth bleaching, silicone bleachingSerious?
Mi.nahitaji hiyo bleaching earthZipo bleaching za aina nyingi kuna za chemical,za organic,au earth bleaching, silicone bleaching
NIPO MBALIZI MBEYAKiwanda chako kpo wapi?,
Unaweza npa mawasliano mkuu tuyajenge
Hii milioni 10 mpaka imefika bongoHii umeipata kwa Bei gani mkuu?
Serious?
Embu nipe logic ya vumbi la mkaa mkuuZipo bleaching za aina nyingi kuna za chemical,za organic,au earth bleaching, silicone bleaching
Hapo mkuu nenda Tunduma, kama unaweza kuvuka upande wa Zambia kule kuna ma dealer wa chemicals. Utachukua kwa bei nzuriNIPO MBALIZI MBEYA
Maelekezo zaidi ingia google andika carbon black bleaching process utapata video nyingi sanaE
Embu nipe logic ya vumbi la mkaa mkuu
Nisaidie namba ya whatsup ya supplier wako ndugu yangu,Hii milioni 10 mpaka imefika bongo