Mbalizi feedstuff
Member
- Feb 23, 2025
- 40
- 34
- Thread starter
-
- #21
Sawa ngoja nicheki kwenye makabrasha,hii mashine uwezo wake ni 2000kg kwa 24 hrsNisaidie namba ya whatsup ya supplier wako ndugu yangu,
Haf hyo Ni kg per day?
Mi npo Tanga nahtaj Sana hii mashine.
Dah nashukuru kwa muongozoHapo mkuu nenda Tunduma, kama unaweza kuvuka upande wa Zambia kule kuna ma dealer wa chemicals. Utachukua kwa bei nzuri
Kabisa mkuu, ila cha ajabu kula tunda kimasikhara ndio kumetamalakiSiku Watanzania tukijikita zaidi kwenye mijadala ya aina hii, naamini tutapiga hatua kubwa sana ya kimaendeleo.
Nitashukuru mkuuSawa ngoja nicheki kwenye makabrasha,hii mashine uwezo wake ni 2000kg kwa 24 hrs
Nenda Tata Chemicals Vingunguti huwa wanazo. Ukikosa useme niwe nakutumia kadri ya matumizi yakoHabari za mda huu wa kuu.kichwa cha somo chahusika.Ninatarajia kufungua kiwanda kidogo kwa ajili ya usafishaji wa mafuta ya kupikia hivyo ninahitaji kemikali muhimu katika shughuli hii.Mafuta nitakayokuwa nayachqkata ni ya alizeti,mawese na mengineyo.Naamini JF ina watu wa kila nyanja katika hao wapo wanaoweza kuwa wanafahamu kuhusu suala hili.Kemikali hii inapatika China 🇨🇳 na wanataka uagize kuanzia Tani moja na mimi ndio nataka kuanza
sawa jamaa yangu,wewe unataka kudeal na mafuta ganiNitashukuru mkuu
+255659943041 mawasliano yangu, idea yangu na yako yafanana twaweza share mawazo nichek mkuu
Sawa
Ni kama kwenye list ya products zao sijaionaNenda Tata Chemicals Vingunguti huwa wanazo. Ukikosa useme niwe nakutumia kadri ya matumizi yako
Umewauliza?Ni kama kwenye list ya products zao sijaiona
No sijauliza nilicheki tu kwenye list ya product walizonazoUmewauliza?
Safi mkuu kwa kutoa lako la moyoniHii ndo mijadala ya watu waliokomaa akili
Uko wapi mkuuNenda Tata Chemicals Vingunguti huwa wanazo. Ukikosa useme niwe nakutumia kadri ya matumizi yako