Wapi naweza kupata hii mifuko kwa bei ya jumla

Wapi naweza kupata hii mifuko kwa bei ya jumla

Mb-one

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
883
Reaction score
1,291
Wakuu habari

Msaada: Naweza wapi nikapata aina hii ya mifuko kwa jumla na bei yake ikoje kwa hapa Dar....imeandikwa AL KHALEEJ SUGAR na mengine inaitwa WFP

Nawasilisha
 
Hapo haijaonekana vema . Hebu ipige vizuri. Ikibidi piga picha mfuko mtupu.... Uoneshe vizuri.
 
Mkuu hiyo mifuko imetumika na inauzwa kama used ama? Maana naona imetumika kama mifuko ya sukari toka Uarabuni
Fafanua vizuri
 
Back
Top Bottom