Hii mifuko ni kama ya plastic si ndio ?Wakuu habari
Msaada : Naweza wapi nikapata aina hii ya mifuko kwa jumla na bei yake ikoje kwa hapa dar....imeandikwa AL KHALEEJ SUGAR na mengine inaitwa WFP
Nawasilisha
View attachment 1864993
OkNi kama ya kuwekea unga wa azam ila yenyew ni migumu sana