Grand Jury
Member
- May 8, 2014
- 73
- 16
kwa wapenzi wa novel, naomba msaada wapi jijini dar naweza kupata novel zifuatazo: 1. the rainmaker cha john grisham 2. overload cha arthur hailey

wanavyo vitabu vya zamani pia!mi natafuta cha Michael Gichiru mkenya huyu cha 80'sNenda Scholastic bookshop Mlimani city wale ni noma aysee.Nilipata Inferno ya Dan Brown mwaka jana mapema sana baada tu ya kuzinduliwa jamaa wakawa nayo.