Wapi naweza kupata kifaa cha GPS Sensor?

Lotus 123

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
3,151
Reaction score
5,513
Ni wapi naweza kununua device ya namna hiyo kwa ajili ya kuonyesha location?
 
Kwa matumizi gani mkuu? Kama ni kwa ajili ya kufunga kwenye chombo cha moto au kumwekea mtu/ mtoto kwenye bag la shule kwa ajili ya kumtrack nk.
 
Kwa matumizi gani mkuu? Kama ni kwa ajili ya kufunga kwenye chombo cha moto au kumwekea mtu/ mtoto kwenye bag la shule kwa ajili ya kumtrack nk.
Kumwekwa mtoto kwenye bagi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…