EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Kama bado ipo ndani ya warranty unabadirishiwa kioo bure kwa agent wa Samsung.Simu yangu Samsung A10 imekufa kioo nataka kubadilisha sasa nahitaji kujua wapi naweza kupata kioo original maana nasikia kuna feki itakuwa vema nikikipata hapa nilipo sasa mbeya pia nahitaji kujua bei zake pamoja na kubadilisha.Msaada tafadhali wadau
warrant ime expire mkuu pengine unaweza kuwa unajua bei ya kioo cha hii simu?Kama bado ipo ndani ya warranty unabadirishiwa kioo bure kwa agent wa Samsung.
Kwa Dar wapo JM mall, mikoani sijui jaribu kugoogle.
warrant ime expire mkuu pengine unaweza kuwa unajua bei ya kioo cha hii simu?
Simu yangu Samsung A10 imekufa kioo nataka kubadilisha sasa nahitaji kujua wapi naweza kupata kioo original maana nasikia kuna feki itakuwa vema nikikipata hapa nilipo sasa mbeya pia nahitaji kujua bei zake pamoja na kubadilisha.Msaada tafadhali wadau
kama hutajali ungeweka bei yake hapa na wengine wajue0714 036595 nicheki upate Kioo kizuri pamoja na kufungiwa.
Nicheki PM
Tajeni bei zenu kwa maslahi ya wengi, hata cocaine ikikamatwa wanataja thamani yake.0714 036595 nicheki upate Kioo kizuri pamoja na kufungiwa.
kama hutajali ungeweka bei yake hapa na wengine wajue
Tajeni bei zenu kwa maslahi ya wengi, hata cocaine ikikamatwa wanataja thamani yake.
Kwa kukiangalia hivi unaweza kujua fake nan og?Siamini kioo OG cha Samsung ni 50,000
Ukiwa nacho kilichokuja na simu utajua na ukikiweka tu utaona vituko vyakeKwa kukiangalia hivi unaweza kujua fake nan og?