Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,512 Reaction score 23,925 Mar 9, 2017 #1 Habari, wapi ntapata mac powder na foundation yake original? Kama kuna mtu anajua wapi naweza kupata naomba anielekeze tafadhali! Natanguliza shukrani
Habari, wapi ntapata mac powder na foundation yake original? Kama kuna mtu anajua wapi naweza kupata naomba anielekeze tafadhali! Natanguliza shukrani
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,032 Reaction score 18,540 Mar 9, 2017 #2 Mcheck Twaiba Anazileta sikuhizi dukani kwake
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,512 Reaction score 23,925 Mar 9, 2017 Thread starter #3 rubii said: Mcheck Twaiba Anazileta sikuhizi dukani kwake Click to expand... Asante mumy
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 27,031 Reaction score 49,928 Mar 9, 2017 #4 mac sio mchezo nani ataleta og ? utaiweza bei yake?
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,917 Mar 20, 2017 #5 Ungekua Na mtu nje ukamuagizia akununulie...
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,512 Reaction score 23,925 Mar 21, 2017 Thread starter #6 farkhina said: Ungekua Na mtu nje ukamuagizia akununulie... Click to expand... Kuna rafiki yangu anatoka marekani mwezi wa 6 atakuja nazo, kwa sasa ntapaka hizi hizi sina jinsi.
farkhina said: Ungekua Na mtu nje ukamuagizia akununulie... Click to expand... Kuna rafiki yangu anatoka marekani mwezi wa 6 atakuja nazo, kwa sasa ntapaka hizi hizi sina jinsi.
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,917 Mar 21, 2017 #7 ringson said: Kuna rafiki yangu anatoka marekani mwezi wa 6 atakuja nazo, kwa sasa ntapaka hizi hizi sina jinsi. Click to expand... Okay dear
ringson said: Kuna rafiki yangu anatoka marekani mwezi wa 6 atakuja nazo, kwa sasa ntapaka hizi hizi sina jinsi. Click to expand... Okay dear
lyimovivianteamoriflame Member Joined Mar 22, 2017 Posts 37 Reaction score 44 Mar 25, 2017 #8 Kuna powder nzuri na Original pia kutoka Oriflame.. Naamini ukiipata utaenjoy mpaka pale MAC powder itakapokufiki.. Karibu ukihitaji kuiona na kufahamu bei yake waweza wasiliana nami kwa simu namba 0672416294
Kuna powder nzuri na Original pia kutoka Oriflame.. Naamini ukiipata utaenjoy mpaka pale MAC powder itakapokufiki.. Karibu ukihitaji kuiona na kufahamu bei yake waweza wasiliana nami kwa simu namba 0672416294