Wapi naweza kupata majibu ya bicon hii ni nini?

Mfanowake

Member
Joined
Aug 17, 2024
Posts
25
Reaction score
35
Nina bicon ambayo niliipata katika mlima.Ikiwa katika mdomo wa chupa ya wine na kugundishwa kwa cementi Kali.
Mwonekano wake
  • Ni shaba
  • Imechongwa
  • Ia ngazi

Nini nimefanya -nimejaribu kupata watu wenye kujua maana ya yalimo katika bicon hiyo sijapata.

Nini Nahitaji: Msaada wa wapi naweza kupata majibu ya bicon hii ni Nini ?kwa Nini iko pale?
 
Ni pm!
 
Hizi hapa mkuu
Kuna mtu atalizwa hapa muda siyo mrefu.
Sihitaji kulia na hivyo sitakiwi kuliza. Je neno utafiti liwe na tafsiri ya utepeli. Labda kitokacho mtu ndivyo alivyo! Anyways tuwachie wenye hekima wafumbue fumbo!
 

Attachments

  • IMG_20240818_115210_383.jpg
    3.8 MB · Views: 5
  • IMG_20240818_115204_241.jpg
    3.1 MB · Views: 4
  • IMG_20240818_115157_899.jpg
    2.8 MB · Views: 2
  • IMG_20240818_115145_238.jpg
    3.1 MB · Views: 3
  • IMG_20240818_115135_823.jpg
    3.3 MB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…