Wapi naweza kupata makoti ya suti kutoka Korea?

Black Walker

Senior Member
Joined
Oct 8, 2018
Posts
119
Reaction score
254
Mimi ni mpenzi wa vikoti fulani hivi vya kubana kwa mbali, hasa kutokana na umbo langu la mwili mwembamba kiasi.

Naomba kujuzwa chimbo kali la suti za Kikorea kwa Dar, ahsanteni na karibuni.
 
Nenda Karume utapata mpk makoti ya Ukraine [emoji1255]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…