Wapi naweza kupata mbegu za mmea huu?

Ngushi

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
9,065
Reaction score
18,358
Unaitwa Lucerne au Alfa alfa kwa wale wafugaji nadhan mtakuwa mnaupata!
 
NENDA MUSOMA VIJIJINI WANAYAITA KIDUA. NI MAGUGU MABAYA SANA YAKIOTA KWENYE SHAMBA HASA LA MAHINDI HESABU MAUMIVU. HUTAVUNA SIJUI YANAFANYAJE MUHINDI UNADUMAA KABISA
Shukran
 
NIMEEELEWA MAANA YANAFANANA NA ULE UTOAJI WA MAUA RANGI NYEKUNDU NA NJANO. MAJANI YA ALFA ALFA YAPO ULIZA 0757804800 WATAKUELEKEZA
Hiyo namba ni ya nani mkuu? Anatikana wapi?
 
Mara ya mwisho 2016 niliyapata SUA au ukiweza nenda Tengeru chuo cha Kilimo wanazo. Ni nzuri sana kwa mifugo aina yote ikiwemo kuku.
 
Mara ya mwisho 2016 niliyapata SUA au ukiweza nenda Tengeru chuo cha Kilimo wanazo. Ni nzuri sana kwa mifugo aina yote ikiwemo kuku.
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…