Wakuu,ni wapi naweza kupata mkopo kwa kuweka kiwanja kama dhamana,naomba mwenye kufahamu anijuze.
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Ukitaka okope kama unacho kiwanja mwaga tu tofali unavuta mpunga lkn sasa ngoja nikupe mchanganuo kidogo hapa, ukiwa na mtaji wa biashara wa milioni moja ili uweze kurudisha mkopo bila shida yeyote kopa laki 5,yaaani kisheri mkopo unatakiwa ukope nusu ya pesa unayomiliki hapo mkopo haukusumbui kamwe,sasa kama ww unamiliki million 10 unaenda kukopa milioni 5,ukainza kuweka akiba na ufuatiliaji mpka unakuja kupata hiyo m5 ukikaa na kupiga hesabu unakuta umetumia milioni 1ambayo hairudi ili upate milioni 5,sasa hapo bado kuna riba hii inakuwa kotokana na benk au taasisi iliokukopesha na unarudisha pesa kwa kuda gani,Wakuu,ni wapi naweza kupata mkopo kwa kuweka kiwanja kama dhamana,naomba mwenye kufahamu anijuze.
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Kiwanja kipo mvuti kwa mbele.
Ndiyo kina hati
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧