Wapi naweza kupata mkopo wa riba kwa dhamana ya kadi ya pikipiki?

Ellyjr555

Member
Joined
Jul 17, 2026
Posts
5
Reaction score
1
Habari
Naomba kufahamu ni wapi naweza kupata Mkopo wa riba kwa dhamana ya kadi ya pikipiki,pikipiki ni namba F....iwe kwa mtu binafsi au taasisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…