Wapi naweza kupata monitor ya TV?

April Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2019
Posts
244
Reaction score
1,233
Habari wakuu!
Msaada tafadhali!
Wapi naweza kupata monitor spare ya flatscreen inch 24 kwa hapa brand ya aborder model kama inanyoonekana kwenye picha
 
Hawa jamaa wana repair Center yao Pale juu ya Jengo la Simba Sports Msimbazi,wasiliana nao kwanza ,wakishindwa nijulishe kuna jamaa anazo generic ntakuunganisha nae
 
Hawa jamaa wana repair Center yao Pale juu ya Jengo la Simba Sports Msimbazi,wasiliana nao kwanza ,wakishindwa nijulishe kuna jamaa anazo generic ntakuunganisha nae
Ahsante kaka
 
Chipukizi unaweza nipa email adress yao maana nliyonayo ujumbe haufiki
Hawa jamaa wana repair Center yao Pale juu ya Jengo la Simba Sports Msimbazi,wasiliana nao kwanza ,wakishindwa nijulishe kuna jamaa anazo generic ntakuunganisha nae
 
Hata namba yao nimejaribu kupiga naambiwa haipo
Usije ukafanya kosa la kuwasiliana mtoa huduma wa tanzania kwa email unaweza subiri mpaka Yesu anarudi

Bora ufike wewe mwenyewe au upige simu
 
Umeona sasa. Watoa huduma wa kibongo bongo miyeyusho sana. Kama upo dar wewe nenda tu . Ila pia jaribu option alikupa jamaa ya kutumia universal display
Hata namba yao nimejaribu kupiga naambiwa haipo
 
Hata mi yangu imekufa display ni OUling wapi ntapa fundi mzuri mkuu?
 
Chipukizi unaweza nipa email adress yao maana nliyonayo ujumbe haufiki
mkuu wewe unaonekana ni mvivu sana.email ata ukijibiwa bado utatakiwa uipeleke hiyo TV kwenye repair center.Hizi Display na Circuit za TV yako na Brand nyingi za Kichina Kariakoo kuna maduka zaid ya 4 zipo nyingi tu.unaenda nayo unalipa wanakufungia unarudi nayo kwako.. Ni PM no yako nikupe fundi atakuja nyumbani kwako na atakubadilishia hiyo disply hapo hapo kwako. kama upo Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…