Wapi naweza kupata Mwekezaji wa ujenzi wa nyumba

Wapi naweza kupata Mwekezaji wa ujenzi wa nyumba

poposindege

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
453
Reaction score
175
Habari wadau
Kuna nyumba eneo la magomeni, Dar es salaam anahitajika muwekazaji wa ujenzi aidha
wa jengo la kibiashara/makazi nk.
Au wapi panapatika wawekezaji na taratibu zikoje.
Ni hayo wakuu
 
Back
Top Bottom