Wapi naweza kupata naweza kupata SUSTAINABLE SUPPLY ya NGANO Tanzania..

mwanawao

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2010
Posts
3,192
Reaction score
5,743
Hi, JF,

Ninaamini JF ni jukwaa lenye watu wengi wanaoishi sehemu tofauti tofauti ndani na nje ya Tanzania. Naombeni msaada kwa anayefahamu sehemu ambayo naweza kupata sustainable supply ya Ngano kwa Tanzania AU nje ya Tanzania kwa mwaka mzima. Naomba mchanganuo wa bei na usafiri kutoka eneo ambako raw material hiyo inapatikana. Kwa sasa nipo Arusha.

Thanks JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…