Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Jamani natamani sana hizi nguo za cowboy; Hapa Dar au Tanzania naweza kuzipata wapi full complete na kwa bei rafiki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka kuzivaa tu; tumeweza leather tutashindwa hizo? Plus Wamarekani cowboys wapo huku chini Texas sijui wapi ambapo kuna joto sio kama kaskazini ya AmericaZa nini mkuu, na utazivalia wapi na joto hili,pia zina mashart hizi nguo.. Unaweza making au unatamani usichokiweza!?
Unataka na hizo bastola au hata toys zake
Siku hizi Dar hakuna mafundi wa suruali wao ni madela ya akina mama.Mpelekee fund mzur anatafuta material za vitambaa anaunganisha bas unatinga mtoko wako kitaa..
Toy! Anataka na miguu ya kuku iliyokamilika.Hata toys tu
???zipo