Ray of light
Senior Member
- Sep 8, 2018
- 154
- 298
Habarini wanajukwaa. Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza pipi na Big-G, je wapi naweza kupata pipi kwa bei ya jumla? Nimetembelea Kariakoo na Manzese ila nimeona bei ni zile za wanaouziwa wafanyabiashara wengine na sio super supplier.