Habarini wanajukwaa. Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza pipi na Big-G, je wapi naweza kupata pipi kwa bei ya jumla? Nimetembelea Kariakoo na Manzese ila nimeona bei ni zile za wanaouziwa wafanyabiashara wengine na sio super supplier.

Ukisema bei ya jumla inategemea na kiasi cha mzigo unaoununua, nawaonaga wwfanyabiashara wengi wa pipi wanajaa pale mataa ya mnazi mmoja jirani na benki ya nbc