Wapi naweza kupata room SAUT-Tabora

Bigwig

Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
23
Reaction score
2
Wakuu naomba kama kuna yeyote anaweza kunisaidia kupata room kwa maeneo jirani na chuo cha AMUCTA(SAUT-TABORA) ani pm. Natanguliza shukran.
 
Ongea na wanafunzi wa mwaka wa pili na wenyeji wako pia.
 
yani kaka ndo kwanza nimefika na kwa upelelezi nilioufanya wanasema hostel hamna kwa boys pia wenyeji ndo hata sina
 
Tembelea chuoni halafu uzunguke mitaa ya jirani na chuo utafute ka uswahili flani ujipatie kigheto chako utulie

Kwa hapo Saut kama sikosei mitaa ya Isevya ya mwanzoni jirani na Bomba Mzinga Shule ya Msingi panakufaa
 
Nimekuelewa vyema ngoja nijaribu kufanya hivyo nashukuru sana
 
Habari zenu naombeni mnijibu swali langu kwa yoyote analolifahamu limitation of financial intermediaries
 
kama hujapata nicheki jwa namba 0652112026 ntakuelekeza vizur!! vyumba vya uhakika na vinapatikana isevya kwa experience yangu ya miaka mitatu niliyosoma hapo AMUCTA....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…