wadau kuna mtu anatafuta shamba lenye ukubwa kuanzia eka 500 hadi 1000 mikoa ya moro, dodoma na singida kwa ajili ya kilimo kikubwa cha nafaka hasa mahindi. liwe maeneo yasiyokuwa na migogoro, kusiwe na ukame sana, kunakofikika alafu maeneo yanayoweza kuchimbwa kisima kwa ajili ya umwagiliaji na kuwe tambarare. je eka inaweza kuwa sh ngapi?