Ukitaka ya kwa mtu haina masharti yote hayo ni pm. Naziuza za kwangu nna ya Tigo na VodaHabari wapendwa;
Kwa yeyote anaefahamu namna gani naweza kupata Line za uwakala za Tigopesa/Mpesa(process)
-Namna ya kufatilia
-Garama za kununua
-zinapatikana wapi
Naomba anifahamishe
(sio za watu wanaoziuza mitaani lakini, nataka OG kusajili kwa Majina ya muhusika)
Ahsanteni
Tsh ngapiUkitaka ya kwa mtu haina masharti yote hayo ni pm. Naziuza za kwangu nna ya Tigo na Voda
Garama ? wanaziuzaje?Ndugu kwa upande wa M-pesa nenda mlimani city kuna ofisi ya mawakala lakini pia unaweza kunichek nikuunganishe na mdau wa voda anayetengeneza, Tigo pesa ofisi zao ziko sinza mori na ni mwezi mmoja tu unachuka lakini kwa upande wa Airtel money ni Tegeta. hata hivyo mchakato huo inategemeana na mahali ulipo, hivyo unaweza kutembelea ofisi zilizo karibu nawe kwa maelezo zaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23]kuna mtu kanipa hio kaziMkuu ndio unakuja kuwekeza huku kwetu Mara... [emoji4]
Sio kazi yako kwelii mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]kuna mtu kanipa hio kazi
Si unaenda kwa miguu, bodaboda, bajaji au kwa basi itategemea mahali na umbali ulipo baada ya kufika watakupa fomu ujaze uambatanishe na picha na kunasehemu inabidi ajaze mwenyekiti au mtendaji wa serikali ya mtaa wako then unairudisha form TRA Kwa hatua nyingine kama kuiweka kwenye system kupiga picha na kuchukua alama za vidole, kukukadiria kwa kuweka makisio ya mwanzo na wewe kwenda kulipia hayo makadirio ndio upewe TIN number yako na tax clearance.Tatizo TRA sielewi naendaje
waoh! sasa huwa inachukua mda gani? au ni juhudi zangu tu hata siku2 napata?Si unaenda kwa miguu, bodaboda, bajaji au kwa basi itategemea mahali na umbali ulipo baada ya kufika watakupa fomu ujaze uambatanishe na picha na kunasehemu inabidi ajaze mwenyekiti au mtendaji wa serikali ya mtaa wako then unairudisha form TRA Kwa hatua nyingine kama kuiweka kwenye system kupiga picha na kuchukua alama za vidole, kukukadiria kwa kuweka makisio ya mwanzo na wewe kwenda kulipia hayo makadirio ndio upewe TIN number yako na tax clearance.
HapanaSio kazi yako kwelii mkuu
Tigo 220k na Voda 180kTsh ngapi
Ooh sawaTigo 220k na Voda 180k
Poa.Ooh sawa
weeeh ,unabadilishajePoa.
Kama utakuwa na shida nazo nipm. Ila kwa maelezo ya ziada unaweza kununua ya mtu baada ya hapo ukiwa na TIN namba na leseni ya biashara unaweza kubadilisha jina likawa la umiliki wako.
Npgie 0718093225Habari wapendwa;
Kwa yeyote anaefahamu namna gani naweza kupata Line za uwakala za Tigopesa/Mpesa(process)
-Namna ya kufatilia
-Garama za kununua
-zinapatikana wapi
Naomba anifahamishe
(sio za watu wanaoziuza mitaani lakini, nataka OG kusajili kwa Majina ya muhusika)
Ahsanteni
Ukiwa na TIN na leseni ya bishara utaambatisha na barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa pia kopi ya kitambulisho then unaenda ofisi za mtandao husika siku 1/2 inakamilikaweeeh ,unabadilishaje
Zinatolewa bure ukifuatilia mchakato mwenyewe kwenye ofice zao ila mtaan ndo hvo 220-150kGarama ? wanaziuzaje?
Zinatolewa bure ukifuatilia mchakato mwenyewe kwenye ofice zao ila mtaan ndo hvo 220-150k
Mpesa mtaji wao ni laki 5 ambayo unawekewa katika cm yako ya uwakala. Tigo pesa mtaji wao ni 1milion kama mtaji na mnasaini mkataba pia na airtel money ni laki 3 kama mtaji pia. changamkia fursa mpendwa.Garama ? wanaziuzaje?