matheus lazaro
Member
- Aug 1, 2013
- 42
- 15
Kuwa makini sana na laini za mtaani ukipata matatizo ndo utajua vema uzito wake.Mpesa mtaji wao ni laki 5 ambayo unawekewa katika cm yako ya uwakala. Tigo pesa mtaji wao ni 1milion kama mtaji na mnasaini mkataba pia na airtel money ni laki 3 kama mtaji pia. changamkia fursa mpendwa.
Hio mitaji ni kwa pesa yangu au yaoMpesa mtaji wao ni laki 5 ambayo unawekewa katika cm yako ya uwakala. Tigo pesa mtaji wao ni 1milion kama mtaji na mnasaini mkataba pia na airtel money ni laki 3 kama mtaji pia. changamkia fursa mpendwa.
yako ambayo ndo unaanzaia biashara yako na cyo kwamba unawapa lah!Hio mitaji ni kwa pesa yangu au yao
anhaapesa
yako ambayo ndo unaanzaia biashara yako na cyo kwamba unawapa lah!
dada kwa mujibu wa sheria ukiwa na TILL NUMBER na RESEN YA BIASHARA line za uwakala ni bure fata vigezo ni kwa mitandao yooooteHabari wapendwa;
Kwa yeyote anaefahamu namna gani naweza kupata Line za uwakala za Tigopesa/Mpesa(process)
-Namna ya kufatilia
-Garama za kununua
-zinapatikana wapi
Naomba anifahamishe
(sio za watu wanaoziuza mitaani lakini, nataka OG kusajili kwa Majina ya muhusika)
Ahsanteni
wananunuaga kwa Tigopesa mkuu.Wakuu nina salio la Tigo nilinunua kimakosa kutoka Crdb kiasi cha shilingi 200,000.
Naomba kama kuna wakala aliye serious anayeuza tigo rusha tufanye biashara nataka anipe 120000 tu kwa 200000 hiym
Naweza kukuunganisha na mtuHabari wapendwa;
Kwa yeyote anaefahamu namna gani naweza kupata Line za uwakala za Tigopesa/Mpesa(process)
-Namna ya kufatilia
-Garama za kununua
-zinapatikana wapi
Naomba anifahamishe
(sio za watu wanaoziuza mitaani lakini, nataka OG kusajili kwa Majina ya muhusika)
Ahsanteni