Wapi naweza kupata simu hii (Nokia 1680c)?

Wakuu mimi natafuta Housing na display ya nokia 1680c-2 naweza kupata wapi? mimi nipo morogoro.
 
Agiza kupitia kikuu... Wapo vizuro
 
Unampa kabisa hela au?
 
Dar kuna duka la mwindi Lina hizo cm nokia za zamani kibao Ila huna adabu ningekuelekeza!
Nielekeze tu jamaa yangu,huyo bwana alikuwa ananijaribu na mimi sikukubali kujaribiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…