Wapi naweza kupata spare aina ya boll joint (Mazda CX 5)

Ni kweli nyingi zinaingiliana
 
Unamshauri achomeke inayofanana na hiyo au atafute ya mazda yenyewe ?
Urefu na upana vikioana tu, anafunga bila shida...hata kama itakuwa ya gari lingine..

Nimefunga stabilizer links za Toyota kwenye nissan..zimelingana urefu na saizi ya nati namba 12..Si kwamba nilikosa za Nissan...zilikuwepo ila ni fake zaidi zimeundwa kwa aluminium...Nikafunga hizo za Toyota maisha yakaendelea..
 
Nashukuru nimepata boll joint za mazda kwa zote mbili 90 k

sent from HUAWEI
 
Tulishawaambiaga haya magari ya kuagiza spea nje ya nchi muachane nayo, yatawatoa damu nyie watu. Gari imeharibika kakitu kadogo kupata spea mpaka ubonyeze namba tofauti na +255 ni utumwa gari inatakiwa uiendeshe wewe sio ikuendeshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…