Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Hebu soma id yake umemjibu nani?π€£Ilala kuanzia bungoni
Barakuda
Keko
Bei inategemea ila kuanzia 90k huwezi kosa kiti mwaya
Wakili wa shetani ππππHebu soma id yake umemjibu nani?π€£
Shukrani sana.Ilala kuanzia bungoni
Barakuda
Keko
Bei inategemea ila kuanzia 90k huwezi kosa kiti mwaya
Mi wakili tu.Wakili wa shetani ππππ
Kwisha habari yangu
Aaah kaka umebadili niniliu hadi nikashindwa kujua kuwa ni weweHebu soma id yake umemjibu nani?π€£
Ndio vizuri sasaπAaah kaka umebadili niniliu hadi nikashindwa kujua kuwa ni wewe
MmmhNdio vizuri sasaπ
Nenda Machinga Complex au malapa Buguruni kama ni mkazi wa DarAsalaam Aleikh. Wakuu wapi naweza kupata viti vya ofisini vya mtumba. Viti vile unaweza udjust urefu na vya kuzunguka. Bei yake ipo namna gani?
Natanguliza shukrani.
Sasa unamtetea shetani na uovu wake?Mi wakili tu.
"Hana hatia mpaka atakapothibitishwa anayo bila shaka yoyote."Sasa unamtetea shetani na uovu wake?
[emoji2]