Wapi naweza kurekebisha Shoo ya mbele ya Nissan X- Trail kwa Kanda ya Ziwa?

MissM4C

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
1,740
Reaction score
1,005
Msaada nilikwangua show ya mbele ikadondoka, kama unavyojua maplastic ya Nissan, naomba msaada wapi naweza ikarekebishwa hapa Kanda ya Ziwa?
 
Nenda morafu ,au pale gereji ya wachina mwanza

sent from HUAWEI
 
Kumbe kuna gereji ya wachina hapo Mwanza. Wachina wanajitahidi sana kwenye kazi zao Na bei zao za kawaida tofauti na magereji mengi ya waswahili ambapo kazi hawajui alafu gharama inakuwa kubwa.

Kwangu mimi gereji nzuri kwa ajili ya bodi za magari baadhi zipo Arusha, Dar na pia ipo Tanga alafu wanafuata wachina.

Hao Wachina wapo eneo gani hapo Mwanza?
 
Ukivuka voilkama unaemda nyegezi mkono wa kushoto
 
Kumbe kuna gereji ya wachina hapo Mwanza. Wachina wanajitahidi sana kwenye kazi zao Na bei zao za kawaida tofauti na magereji mengi ya waswahili ambapo kazi hawajui alafu gharama inakuwa kubwa.

Kwangu mimi gereji nzuri kwa ajili ya bodi za magari baadhi zipo Arusha, Dar na pia ipo Tanga alafu wanafuata wachina.

Hao Wachina wapo eneo gani hapo Mwanza?
Hiyo ya tanga ni ipi mkuu?
 
Mkuu tunaomba ututajie majina ya baadhi ya garage kama unayajua...binafsi ningependa kufahamu zaidi Arusha
 
Msaada nilikwangua show ya mbele ikadondoka, kama unavyojua maplastic ya Nissan, naomba msaada wapi naweza ikarekebishwa hapa Kanda ya Ziwa?
Kwanza tafuta duka la vitu used ununue hiyo show. Bila shaka garama itapungua sana.
 
Show unataka kuinyooshaje badala ya kununua mpya........
 
Back
Top Bottom