Wapi naweza kusoma Kidato cha 5 na 6 kwa mwaka mmoja

F183

Member
Joined
Jul 11, 2019
Posts
25
Reaction score
6
Habari wakuu

Mimi ni muajiliwa nipo mkoa wa dar es salaam naitaji kusoma advance mwaka mmoja

Naomba mnisaidie kwa lolote mawazo yenu, mbinu , na wapi sehemu gani niende niweze kutimiza lengo langu hilo.

Nitawashukuru sana kwa msaada wenu
 
British open school ipo mwenge.lakini kwa dar !ipo nyingi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…