Wapi naweza kwenda kukodisha helicopter?

Mustaphagentleman

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
3,953
Reaction score
3,022
Nauliza wapi ntapata Huduma ya Helicopter niweze kulipia na kuwa Hewani at least Lisaa Limoja mwenye Kujua Bei tafadhali
 
Unataka kukodi ndege kwanini..mi nataka nijue kwanza then ntakusaidia[emoji12] [emoji12] [emoji16] [emoji2] [emoji3]
 
Mmh!!!hebu jalibu kwenda kwenye makambi ya jeshi waweza pata
 
Nenda Holiday Inn pale posta mpya kama upo dar!! Wanatoa service ya Helicopter ride...bei wanayocharge inategemea unakaa masaa mangapi hewani ie;100$ for 1hour
 
fleeze piga simu kwa kufuata izo herufi sharti uwe na simu ndogo zile kila button click mara moja
 
kama boda bona unajua kwendesha basi hata helcopter pia utajua kwan hiyo ndo boda boda kwa upande wa ndege
na bodaboda uliyozoea kuiona hyo nia ya gari sawa mkuu?
 
Wasiliana na ADAM AUTO GERAGE wa tunduma no juzi tuu alizidua helicopter aliyoitengeneza yeye mwenyewe. Nafikiri hii itakuwa being rahisi kabisa kwa sababu haidaiwi VAT , IMPORT DUTY wala CIF
 
Wasiliana na ADAM AUTO GERAGE wa tunduma no juzi tuu alizidua helicopter aliyoitengeneza yeye mwenyewe. Nafikiri hii itakuwa being rahisi kabisa kwa sababu haidaiwi VAT , IMPORT DUTY wala CIF
We utakuwa katika wale 4 vichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…