wapi naweza nikajifunza kireno hapa dar.?

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,786
Reaction score
5,963
jamani nimepata nafasi ya kwenda
kusoma msumbiji sasa kabla sijaenda
ningependa kujifunza kireno ambacho
ndo lugha yao,JE NI WAPI NAWEZA
NIKAJIFUNZA KIRENO KWA HAPA DAR..
 
tafuta virabu vya pombe za kienyeji wanazo kunywa wamakonde hutahitaji malipo ya ziada ni kununua wanzuki tu wanakufundisha
 
Kijana una wenge la nini wakati utaenda kupoteza mwaka mzima kwa ajili ya hiyo lugha huko unapoenda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…