Wapi naweza nunua Joho la Mahafali?

moghasa

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
1,084
Reaction score
1,254
Waungwana habari za wakati huu? Poleni kwa kampeni zinazoendelea na hongera kama chama chako kinafanya vizuri!
Ndugu naomba kujuzwa ni wapi naweza pata Joho la kununua angalau moja au mawili kwaajili ya biashara yangu ndogo.!
mimi nipo singida.
NB: joho saizi ya mtu mzima, na kofia yake.
asanteni.
 
Umeona mbali kweli
tafuta fundi cherehani mkali, nunua vitambaa, mpe michoro
Tangaza biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…