C CHILALA KENNEDY New Member Joined Sep 24, 2020 Posts 4 Reaction score 0 Jun 17, 2024 #1 Habari wadau, Natarajia kulima mahindi katavi mpanda kama ekari 300 kwa wazoefu naweza pata boom sprayer inayoendeshwa na trekta kwa kukodi. Na gharama zake zipoje
Habari wadau, Natarajia kulima mahindi katavi mpanda kama ekari 300 kwa wazoefu naweza pata boom sprayer inayoendeshwa na trekta kwa kukodi. Na gharama zake zipoje