Mnanje Boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 395
- 1,195
UnawezaHabari zenu Wakuu,
Wapi naweza pata chokaa kwa matumizi ya kilimo maana nimeulizia Dodoma cement wenyewe wanauza kuanzia 1000 kg na Mimi nahitaji 100kg.
Napatikana Singida
Cement?Habari zenu Wakuu,
Wapi naweza pata chokaa kwa matumizi ya kilimo maana nimeulizia Dodoma cement wenyewe wanauza kuanzia 1000 kg na Mimi nahitaji 100kg.
Napatikana Singida
Chokaa ya kilomo MkuuCement?
Chokaa gani hiyo ya Kilomo mkuu?ππ πππ inaitwa chokaa mazao inatumika kupunguza acid kwenye udongo. Tanzania kuna viwanda viwili vya kuzalisha na kusambaza hiyo chokaa. Kuna kile cha Dodoma Cement Company Limited cha Mzee Nghumbi Baba Mkwe wangu. Mzee nampenda sana binti yako Ritha wakili msomi pia kuna kiwanda kingine pale Mbeya.Chokaa ya kilomo Mkuu
Sawa Mkuu lkn ukiongelea mazao ndio kilimo, shida ya Dodoma cement wanauza kuanzia 1000 kg ambayo ni kubwa sana kwa mkulima wa chini kama MimiChokaa gani hiyo ya Kilomo mkuu?[emoji23][emoji28][emoji38][emoji16][emoji1] inaitwa chokaa mazao inatumika kupunguza acid kwenye udongo. Tanzania kuna viwanda viwili vya kuzalisha na kusambaza hiyo chokaa. Kuna kile cha Dodoma Cement Company Limited cha Mzee Nghumbi Baba Mkwe wangu. Mzee nampenda sana binti yako Ritha wakili msomi pia kuna kiwanda kingine pale Mbeya.
Ningefanya ivyo lakini tafiti inataka tumtumie chokaa tuu na majivu baadhi ya plotiWeka majivu
Upo mkoa gani wewe jamaa?Sawa Mkuu lkn ukiongelea mazao ndio kilimo, shida ya Dodoma cement wanauza kuanzia 1000 kg ambayo ni kubwa sana kwa mkulima wa chini kama Mimi
Singida MkuuUpo mkoa gani wewe jamaa?
Nenda kwenye maduka ya pembejeo watakupa hints...vitu vingi huwa tunaviona vigumu sababu hatuendi sehemu sahihi kupata taarifa....Habari zenu Wakuu,
Wapi naweza pata chokaa kwa matumizi ya kilimo maana nimeulizia Dodoma cement wenyewe wanauza kuanzia 1000 kg na Mimi nahitaji 100kg.
Napatikana Singida
Asante Mkuu niliipata tayaliNenda kwenye maduka ya pembejeo watakupa hints...vitu vingi huwa tunaviona vigumu sababu hatuendi sehemu sahihi kupata taarifa....
....nimesoma huu uzi na hakuna majibu ya maana kukusaidia...
In everything kwenye maisha know the right channels za kupata taarifa...will save you plenty of time!