Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Supermarket zipoHabari wakuu.
Naomba kujua kuwa wapi naweza pata Corn Starch.
Gharama yake ikoje ndugu?Unapatikana wapi? nenda Supermarkets yoyote utapata ambayo ni imported. Hata ya ndani ukihitaji Red gold wanayo. Box lina kama nyekundu na kijani.
Ahsante mkuu nitaenda kuzitafuta.Unapatikana wapi? nenda Supermarkets yoyote utapata ambayo ni imported. Hata ya ndani ukihitaji Red gold wanayo. Box lina kama nyekundu na kijani.
Ngoja nifikeSupermarket zipo
0684219020 nazo nipigieHabari wakuu.
Naomba kujua kuwa wapi naweza pata Corn Starch.
Gharama yake ikoje ndugu?
Sorry nimechelewa kuona msg.. Elfu 3-4 mia tano kulingana na brand.Gharama yake ikoje ndugu?