Sir_Finus JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 330 Reaction score 139 Jan 24, 2017 #1 Wadau, Natafuta darasa la mitindo (fashion design) na hair styles and design la muda mfupi kama mwezi au miezi mitatu. Mwenye kujua naomba anipe direction na contact zao kama pia anazo darasa liwe linapatikana Dar es Salaam.
Wadau, Natafuta darasa la mitindo (fashion design) na hair styles and design la muda mfupi kama mwezi au miezi mitatu. Mwenye kujua naomba anipe direction na contact zao kama pia anazo darasa liwe linapatikana Dar es Salaam.