simon baker
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 522
- 698
Rejea hapo juu..
kuna jamaa yangu anaplan kuhost dinner after harusi yake..
ana watu kama 100 anataka eneo tulivu lauweza kupata huduma kama ni msosi (Buffet , BBQ,nk)
vinywaji ..
naombeni suggestions zenu tuweze mshauri..
asante...
(Angalizo budget per head ni 50k)..