simon baker
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 522
- 698
asante mkuu..hiyo ina cover coat za mtu mmoja average katika eneo husika..kuna watakao tumia less na watakao tumia more ..so tukaona tu standardise50k. good. natamani niwachukue
ipo wapi hii??Kiota jungle mkuu nenda
Njia panda ya segereaipo wapi hii??
wanaume wa darNaona mnatiririka viota vya Dar tu, kwani jamaa keshasema yuko sehemu gani ya Tanzania?
Mkoa gani?Rejea hapo juu..
kuna jamaa yangu anaplan kuhost dinner after harusi yake..
ana watu kama 100 anataka eneo tulivu lauweza kupata huduma kama ni msosi (Buffet , BBQ,nk)
vinywaji ..
naombeni suggestions zenu tuweze mshauri..
asante...
(Angalizo budget per head ni 50k)..
tulienda akakomaa tuhost kama ukumbi nk..Shekinah garden Mbezi beach
jiongeze mkuu..asante kwa mtazamo ila nime note tangazo llilipelea..ila wa dar tuna bond flani amaising tunajuana tuNaona mnatiririka viota vya Dar tu, kwani jamaa keshasema yuko sehemu gani ya Tanzania?
dar es salaamMkoa gani?
mkuu tunataka target sehem kidog karibu kufikika..huku kwa mzungu napajua kutoka njia panda pale ni mwendo kidogo mkuu..asanteNjia panda ya segerea
Poa poa mkuumkuu tunataka target sehem kidog karibu kufikika..huku kwa mzungu napajua kutoka njia panda pale ni mwendo kidogo mkuu..asante