Wapi naweza pata huduma ya kupima UKIMWI kwa kesho jpili

confused

Member
Joined
Oct 19, 2013
Posts
13
Reaction score
2
Mamboz
.
Natarajia mko poa wadau..
Nahitaji msaada wapi naweza pata huduma ya kuenda kupima ukimwi kesho jpili?
 
Mamboz
.
Natarajia mko poa wadau..
Nahitaji msaada wapi naweza pata huduma ya kuenda kupima ukimwi kesho jpili?

Eh! We kweli CONFUSED maana hujasema upo wapi sasa sijui uelekezweje? Haya rekebisha halafu uliza tena!
 
Niko dar, maeneo ya mkwajuni..naomba muniambie sehemu ambayo kesho naweza kupata hiyo huduma na kwa bei nafuu.. Ni muhimu saana kupata hiyo huduma kesho
 
mkuu confused... Calm down... Majibu ulete ..lol
 
Njoo muhimbili emergency department


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…