kaboli JF-Expert Member Joined May 13, 2015 Posts 458 Reaction score 363 Jun 11, 2015 #1 waungwana Kama kuna mtu ana kitabu hiki cha 'kaptula la max, au anafahamu kinapopatikana, naomba msaada wake. asante
waungwana Kama kuna mtu ana kitabu hiki cha 'kaptula la max, au anafahamu kinapopatikana, naomba msaada wake. asante
K kinyangesi JF-Expert Member Joined Jul 15, 2012 Posts 247 Reaction score 86 Jun 11, 2015 #2 Nipo songea. Nnacho hicho kitabu. Utakipataje? Nitafute au pm