Wapi naweza pata mashine za kubetia

Wapi naweza pata mashine za kubetia

machafuko jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Posts
565
Reaction score
1,158
Heri ya pasaka wakuu,

Nina uhitaji wa zile mashine za kubeti premier bet au yeyote wapi naweza kupata wakuu. Nipo mjini Dar es Salaam

Asanteni.
 
Kariakoo stand za tegeta ukiulizia utazipata ofisi zao pia ndio makao makuu .Au unaweza kumuuliza mtu anayefanya hiyo biashara karibu na wewe unapotaka kufanyia . Kariakoo Kuna vigezo vyingi vya kupata hizo mashine
 
Samahani mkuu ningependa kujua kama kuna vigezo unatakiwa uwe navo ili wakupe mashine
 
Back
Top Bottom