machafuko jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 565
- 1,158
Sioni bango lolote hapaAngalia kando kando ya barabara utaona matangazo
Samahani mkuu ningependa kujua kama kuna vigezo unatakiwa uwe navo ili wakupe mashineKariakoo stand za tegeta ukiulizia utazipata ofisi zao pia ndio makao makuu .Au unaweza kumuuliza mtu anayefanya hiyo biashara karibu na wewe unapotaka kufanyia . Kariakoo Kuna vigezo vyingi vya kupata hizo mashine
Barua ya utambulisho wa serikali ya mtaa,leseni na Tin namba ya biashara.hayo ndio nakumbukaSamahani mkuu ningependa kujua kama kuna vigezo unatakiwa uwe navo ili wakupe mashine
Asante mkuuBarua ya utambulisho wa serikali ya mtaa,leseni na Tin namba ya biashara.hayo ndio nakumbuka