Wapi naweza pata Miwani ya macho kwa kadi ya NHIF

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
2,675
Reaction score
2,807
Wakuu nimepita hospital nyingi za serikali na private zinazopokea kadi za NHIF ila ninapo ulizia huduma ya macho naambiwa kadi ya NHIF haihusiki wanataka cash. Chakushangaza kila siku NHIF wanajisifu huduma ya macho ipo. Anaye jua wapi nitapata huduma hiyo....
 
Wewe ni mwanachama mchangiaji?
I mean plinciple member?
Hilo fao linatolewa kwa mwanachama mchangiaji tu na siyo kwa mtegemezi kwa kibali maalum kutoka ofisi za nhif.
Siyo kulaum tu bila kuuliza taratibu
#blarybasketball ww
 
Back
Top Bottom