Wakuu nimepita hospital nyingi za serikali na private zinazopokea kadi za NHIF ila ninapo ulizia huduma ya macho naambiwa kadi ya NHIF haihusiki wanataka cash. Chakushangaza kila siku NHIF wanajisifu huduma ya macho ipo. Anaye jua wapi nitapata huduma hiyo....