Wapi naweza pata mkopo wa vitu kama redio,simu nk

Soma vizuri mie ndo ntakayemuhonga.
unakumbuka zile hela.ulizoniachia asa ndo nataka tumsaidie yeye alitaka kukopa ila mi naona nimpe tu.

Sihitaji kukopa ila nilitaka nikuletee wateja tu!
 
Are u serious ?????
Yaaani wewe ndo unashida halafu unataka mtu akupm no.
We mfata pm bana acha uvivu na ujieleze vizuri kuwa unakopesheka na utaliipaje.
Mie ntakuwa mdhamini wako.
Cc Baba V

Hapo tu....ndio utata...kwan we unataka ulipweje. Funguka !! Lol
 
Mimi ni mtumishi wa serikali nipo kigoma.kama kuna duka au mahali naweza pata vitu kama simu,redio,tv na kulipa taratibu.kama sehemu hiyo ipo kwa kigoma naomba mnijuze

Nikupeleke Kibo boys?
Tafuta mtu wa hapo halmashauri anayefahamiana na Andrew atakusaidia.
 
Maisha magumu ,maisha magumu ila hatuna budi kutengeneza maisha kwani hakuna kazi vijana tunapaswa kujishika na kufunga mikanda jamani mmh mwenzenu nauza h_toyota cresta kwa millioni tano na laki mbili 5.2millioni tu...kwani gari lipo katika hali nzuri ila halina vibali kwani vimeisha ila gari lipo katika hali njema sana...
 
Twende pm.
Watu kama nyie hamtakiwi kupata shida na kama una neema za Allah ndo kabisa.

Kumbuka mimi ndio wa kwanza...achana na huyo, kadandia gari kwa mbele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…