Lager JF-Expert Member Joined Mar 4, 2019 Posts 395 Reaction score 1,085 Jul 6, 2021 #1 Wapi naweza pata mkopo wa laki mbili na nusu itakuwa vizuri zaidi kama kuna site za online zinaweza toa mkopo maana sitarajii kukaa na mkopo huo kwa muda mrefu ni kitu fulani tu nakikamilisha ndani ya wiki then pesa husika inarudi. Msaada tafadhari.
Wapi naweza pata mkopo wa laki mbili na nusu itakuwa vizuri zaidi kama kuna site za online zinaweza toa mkopo maana sitarajii kukaa na mkopo huo kwa muda mrefu ni kitu fulani tu nakikamilisha ndani ya wiki then pesa husika inarudi. Msaada tafadhari.
desayi JF-Expert Member Joined Aug 27, 2017 Posts 3,593 Reaction score 5,848 Jul 6, 2021 #2 Unaweka dhamana gani
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 7, 2021 #3 Kila la kheri...
W waguna Member Joined Jun 19, 2020 Posts 14 Reaction score 31 Aug 2, 2021 #4 desayi said: Unaweka dhamana gani Click to expand... Mimi na weka nyumba