Wapi naweza pata mkopo?

Wapi naweza pata mkopo?

danny hata mimi nahtaj pls kwa riba nipo tyr kulipa kwa 15% ndan ya mwezi nahtj lak saba tu
 
danny hata mimi nahtaj pls kwa riba nipo tyr kulipa kwa 15% ndan ya mwezi nahtj lak saba tu

mkuu mi sio mkopeshaji. Kwa benk hapo tembelea benki ya posta, NBC au Twiga ndio wako vizuri. Andaa vielelezo kuhusu kazi yako, malengo juu ya hiyo pesa, mdhamini, na dhamana iwapo utashindwa kulipa.
 
Karibuni AHADIWAY Development initiative, mkopo wenye riba nafuu(10%) kwa miezi sita tu!

Pia tunatoa mikopo ya kufanya miradi(projects) ndogo na zile za kati, masharti ni nafuu!
 
Karibuni AHADIWAY Development initiative, mkopo wenye riba nafuu(10%) kwa miezi sita tu!

Pia tunatoa mikopo ya kufanya miradi(projects) ndogo na zile za kati, masharti ni nafuu!

Mpo wapi na sifa za mkopaji ni zipi?
 
Tunapatikana Dar es Salaam na Arusha, kwa Dsm tupo Mwenge Itv road, kwa arusha tupo mitaa ya ngulelo karibu na Rians college, fika moja wapo ya ofisi zetu na utapatiwa maelekezo yote pamoja na vigezo, karibu sana!
 
Back
Top Bottom