Wapendwa wapi naweza pata mkopo?
danny hata mimi nahtaj pls kwa riba nipo tyr kulipa kwa 15% ndan ya mwezi nahtj lak saba tu
Karibuni AHADIWAY Development initiative, mkopo wenye riba nafuu(10%) kwa miezi sita tu!
Pia tunatoa mikopo ya kufanya miradi(projects) ndogo na zile za kati, masharti ni nafuu!