Wapi naweza pata spea za baiskeli kwa bei rahisi

Wapi naweza pata spea za baiskeli kwa bei rahisi

Mnyaru98

Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
9
Reaction score
4
Habari wana Jf naomba kujuzwa chimbo wanako uza bei nzuri kwa jumla jumla spea za baiskeli kwa dar es salaam mimi nipo mkoani
 
Ofcoz afike Kwanza mtaa wa agree huyu anaye uza hapo mnazi mmoja ndio huyo hyu anauza hapo agrey

Ni mwezi wa Tisa nilkuwa pale nilifunga mzigo wangu pale

Acha nimtafutie namba zao nimpatie
Ahsante sana mpambanaji mwezangu naomba unisaidie nopate mawasiliano yao
 
Back
Top Bottom