Wapi naweza pata spea za pikipiki? nipo Tabora

Chiddy Boe

New Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
1
Reaction score
2
Samahan Waugwana Naiman Wazima Wa Afya

Mimi Ni Kijana Umr Miaka 19 Sijabahatika Kusoma Nimeishia La 7 Nimepata Pesa Tsh Million 2 Za Kitanzania Kutokana Na Uhaba Wa Spea Za Pikipik Katika Mtaa Wangu Wa TABORA NAHITAJ KUWEKA DUKA LA SPEA HIZO HIVO NAWAOMBA WANA JF WAPI NAWEZA PATA SPEA HZO KWA BEI NZURI HUKU KWETU BEI GHARI SANA
 
Mkuu,

Yabidi ujilipue tu uende Kariakoo mwenyewe kwa hatua za mwanzo,

Baada'e utazoeana kibiashara na wauzaji wa jumla,
Utakuwa unawatumia order list ya vifaa na hela,
Kisha nao watakutumia mzigo huko uliko bila wasiwasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…